Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hata mimi kamanda. Kakipande ka sato na vijani viwili vya mchicha nasikia ni laki mbili. Kama siyo udwanzi huo ni nini? Wakianza kuuza ugali na bamia tushtuane [emoji16][emoji16][emoji16]Siku wakiweka Mlenda, ugali wa muhogo, samaki wa kulumagia kwa kachumbari nami nitauza kishamba cha urithi nikaonje maisha ya nyota 5[emoji16][emoji16][emoji16]
Alivaana na mwanaharakati mwenziye kuhusu yale mapicha ya chupi chupi naona hawakuelewana vyema. Si ajabu kasusa [emoji16][emoji16][emoji16]
Akizeeka na meno hung'oka. Balaa huanzia hapo,Mfalme wa pori. Yeye hufa kwa sababu ya uzee na siyo kuuliwa na wanyama wengine...
View attachment 1075681
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee,kumbe ndio maana kasusia uzi huuAlivaana na mwanaharakati mwenziye kuhusu yale mapicha ya chupi chupi naona hawakuelewana vyema. Si ajabu kasusa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuwindana....
Na fisi. Wakimkuta katika hali hii basi wanaanza kumtafuna laivu...Akizeeka na meno hung'oka. Balaa huanzia hapo,
Lakini kuna wakati Koboko pia anahusika kuchukua uhai wa mfalme huyu
The King of the ocean...
View attachment 1075687
Inavyoonekana picha hizo huwa zinamkwaza sana. Alisema ndiyo sababu alikataa jukwaa la wakubwa na akija huku anazikuta tena basi anakwazika....[emoji23][emoji23][emoji23]aisee,kumbe ndio maana kasusia uzi huu
Msosi tayari uko secured...
View attachment 1075689
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimem miss shiro
Aisee,sikuwa najua kuwa chanzo ndio hchoInavyoonekana picha hizo huwa zinamkwaza sana. Alisema ndiyo sababu alikataa jukwaa la wakubwa na akija huku anazikuta tena basi anakwazika....
Wewe na Shiro mlivyokujaga kwenye uzi huu sitakaa nisahau bro...Nimem miss shiro
Sina uhakika. Ila nafikiri hivyo...Aisee,sikuwa najua kuwa chanzo ndio hcho
Ufupi wake unahusu nini bhana[emoji16][emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] aisee,,kwenye huu uzi kumbukumbu ni za muhimu sana,kumbukumbu znahifadhika vyema sanaWewe na Shiro mlivyokujaga kwenye uzi huu sitakaa nisahau bro...
Kutoka enzi hizo mpaka ukurugenzi wa TRM. What a wonderful journey...[emoji16][emoji16][emoji16]