Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
HahhahaaYep. Mwanamke mrefu, mweupe, mrembo, msomi, mchapakazi, anayejielewa and well mannered kama Jakitoo andaa ng'ombe zaidi ya 50. Sasa tumepata ahueni kidogo kwa sababu hali ya hewa hairuhusu watu kuwa na ng'ombe wengi. Ng'ombe sasa wamegeukia mfukoni. Mtu unapigwa ng'ombe 50 na kila ng'ombe laki mbili au tatu...
Kumbe una notice nikajua moyo wako wa chuma...Unaniitia nini nawewe unajifanya hunioni siku hizi
babeYep. Mwanamke mrefu, mweupe, mrembo, msomi, mchapakazi, anayejielewa and well mannered kama Jakitoo andaa ng'ombe zaidi ya 50. Sasa tumepata ahueni kidogo kwa sababu hali ya hewa hairuhusu watu kuwa na ng'ombe wengi. Ng'ombe sasa wamegeukia mfukoni. Mtu unapigwa ng'ombe 50 na kila ng'ombe laki mbili au tatu...
Hahahahahahahahha kichwa kichafuHamna mkuu natumia solar hapa nimekaa juani
Kama kawa kama dawaToa likes Pata likes...
Big bro shimba ya buyenze, Toa likes Pata likes...Nimekuwa away hapa for 10 hours sasa hata sijui nianzie wapi kugawa likes? Mbele au nyuma? This is too much!
Washa moto wazee wa likes washa motooooUKIWASHA MOTO ILALA WANAZIMA MOTO
Toa likes Pata likes
Mind - the most potent weapon that God blessed us (Homo Sapiens) with. We have the power to do anything but for most of us we don't harness that power or just misuse it.
Ya kigamboni au wapi?Mother terresa
Naona anatuhuma zake hapo juuAmefanyaje?