Baba paroko.Mmezuiliwa na nani?
😁Hahaha eti unaniondoa hofu.. Deep sea with Sharks...Mbona hata humu madomo zege tupo
Kumbe wengi wanakuwaga wanatest mazari yao ??
Humu ndiyo wanatumia ile mbinu ya fake it until you make it, usihofie kutokewa Frag
Hahahha yaan wewe unamuona Messi tu
Haya mambo ni magumu sana. Huyu jamaa nafsi inamsuta lakini kuacha hataacha mpaka atakapokamatwa. Kugegeda mke wa mtu yataka moyo sana...ila na wanawake wengine duh...Ananyanduliwa siku ya ndoa duh na kuna mwingine amejitunza haolewi...not fea kabisa...
View attachment 1075974
Mmm..Hata mimi tayari bro. As long as haimo kwenye kile kitabu kitakatifu we are OK bro...Nasikia ilianzishwa ili kuhimiza ulaji wa samaki na hivyo kuzuia pato la uvuvi lisiporomoke huko Ulaya ya kale na nchi za Skandinavia [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1075967
Anataka kumuacha lakini demu alipomwambia anaolewa akaona wivu. Hakuna muachaji hapo. Ni mpaka atakapokamatwa tu...Bro mambo haya ni magumu sana
ila wewe si unamsemo wako kuchapiwa ni siri ya ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiamua kuacha anaweza ishu ni vipaombele Tu
[emoji16]Hahaha eti unaniondoa hofu.. Deep sea with Sharks...
At least kwenye real life tunawajua sharks..
Hapo sawa....Baba paroko.
Messi yupo bize kuwatafutia Barcelona ubingwa wao wa kwanza wa Ulaya tangu mwaka 2015, ambapo hapo katikati mambo yao yalikuwa hovyo na kuwashuhudia wapinzani wao Real Madrid wakitamba kwenye mikikimikiki hiyo kwa miaka mitatu mfululizo.
Anataka kumuacha lakini demu alipomwambia anaolewa akaona wivu. Hakuna muachaji hapo. Ni mpaka atakapokamatwa tu...
#KuchapiwaHakuepukiki#
#Kuchapiwanisiriyandani#
Akisema yeye na mbinguni imepita ujue .. OhoooHapo sawa....
Mbali na divorce kuna kingine cha kufanya bro?Sema assumption yako nzuri Incase umekuta unachapiwa unasamehe na kuugulia ndani kwa ndani