Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amecheza kwa dakika 714 tu, lakini ametumia muda huo ndani ya uwanja kuonyesha ubora wake kwa kufunga licha ya timu yake kwamba haijafika mbali sana katika michuano hiyo ya kusaka ubingwa wa Ulaya.
 
Staa huyo wa kimataifa wa Argentina amefunga mabao 10 kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya katika dakika 657 alizocheza na kuisaidia timu yake kutinga hatua ya nusu fainali huku wakiwaengua Manchester United kwenye robo fainali.
 
Messi yupo bize kuwatafutia Barcelona ubingwa wao wa kwanza wa Ulaya tangu mwaka 2015, ambapo hapo katikati mambo yao yalikuwa hovyo na kuwashuhudia wapinzani wao Real Madrid wakitamba kwenye mikikimikiki hiyo kwa miaka mitatu mfululizo.
 
Duniani huko madomo zege hawakutokei kiholelaholela..
Humu kila mtu kajificha nyuma ya keyboard.. kila mtu anajiona msupa..kila mtu singo.. wanatest wapi atakubaliwa..
Tafrani tupu!

Mbona hata humu madomo zege tupo

Kumbe wengi wanakuwaga wanatest mazari yao ??

Humu ndiyo wanatumia ile mbinu ya fake it until you make it, usihofie kutokewa Frag
 
Dunia Sinia
Nina uhusiano na mke wa mtu natamani kumuacha lkn inakuwa ngumu.
 
Nimepewa ruhusa!!!

Njema japo nimekula nyama bahati mbaya
Vipi upande wako
Hata mimi tayari bro. As long as haimo kwenye kile kitabu kitakatifu we are OK bro...Nasikia ilianzishwa ili kuhimiza ulaji wa samaki na hivyo kuzuia pato la uvuvi lisiporomoke huko Ulaya ya kale na nchi za Skandinavia [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
IMG_20190419_125136_642.jpeg
 
Hata mimi tayari bro. As long as haimo kwenye kile kitabu kitakatifu we are OK bro...Nasikia ilianzishwa ili kuhimiza ulaji wa samaki na hivyo kuzuia pato la uvuvi lisiporomoke huko Ulaya ya kale na nchi za Skandinavia [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1075967

Kama tupo wengi siyo mbaya kabisa
 
Back
Top Bottom