Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Marhaba binti mpole,habar ya ijumaa kuuLong live ankoooooo. Shikamoooo
Marhaba binti mpole,habar ya ijumaa kuuLong live ankoooooo. Shikamoooo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ankoooo fundi keshaniharibia pasakaView attachment 1075868
Hahahaa anko,shuain zake yuda siku ilikua ndefuuu na jua kaliiiMarahaba mama.
Pole kwa misuko suko ya kuharibiwa siku na Yuda eskariot
Hahahhahaha halafu wewe bwana jeziiii, siku imeisha salama kabisa. Za huko ulipo?Marhaba binti mpole,habar ya ijumaa kuu
Mkuu kuna sehemu nimeona una wiki zima la kuogelea. Mungu awatangulie safari iwe salamaBeing called bae,boo,hun and babe by someone you don't know feels like sexual harassment[emoji23][emoji125]
Yaaani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniachaAlipokua msalabani alifadhaika sana akasema eloi eloi
Hahahah huku nilipo nipo salama kabsa,namshukuru Muumba,,nimefarijika kusikia upo salama pia.Hahahhahaha halafu wewe bwana jeziiii, siku imeisha salama kabisa. Za huko ulipo?
Pole mamaHahahaa anko,shuain zake yuda siku ilikua ndefuuu na jua kaliii
Aaah leo michembe haipiti kabisa karibisha malimbe,unayafahamu?Hahahah huku nilipo nipo salama kabsa,namshukuru Muumba,,nimefarijika kusikia upo salama pia.
Karbu michembe[emoji2][emoji2]
Hahah nayafahamu yaleAaah leo michembe haipiti kabisa karibisha malimbe,unayafahamu?
Sana tu nimepiga hesabu lile jua kali kiu njaa aiseeePole mama
Hata Yesu mwenyewe siku ya leo ilikuwa ngumu sana kwake.
Bro asione hii topic hahahaaHahah nayafahamu yale
Yaani sijui nimlie hii kitu niongeze na pepsi big atanikomaje[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Jamani ankoo...
Hahaha[emoji125][emoji125][emoji125]Bro asione hii topic hahahaa