Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
🤣🤣🤣 kwani huamini broccoli inaleta flawless skini? kula na wewe 2 weeks unipe mrejeshoJamaa watajazana huko wakiomba kufaudu flawless skin ama? Basi fanya iwe ni fo mai aizi onli [emoji14][emoji14][emoji14]
Bro ana hatari huyu! anataka niweke picha hapa! nihame na ID kabisaNakuona bro[emoji2][emoji2][emoji109][emoji109]
🤣🤣🤣Mdogo mdogo tu bro. Yu neva noo. Tena niazime na yale mamuvi ya kutisha tisha yale [emoji23][emoji23][emoji23]
Bo ana hatari huyu! anataka niweke picha hapa! nihame na ID kabisa