Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Yaani sijui nimlie hii kitu niongeze na pepsi big atanikomajeView attachment 1075875
Asee ikiwa hivyo ndivyo itakuwa mtihani maana hapa napo watu wanazipendaInavyoonekana picha hizo huwa zinamkwaza sana. Alisema ndiyo sababu alikataa jukwaa la wakubwa na akija huku anazikuta tena basi anakwazika....
Hahahhahahhaaa anko bana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Utaua watu hata wasio na hatia ankoo
Samehe 7*70
AseTanga kunani?
View attachment 1075806
Hahahaha,[emoji16][emoji16][emoji16]shwaini[emoji16][emoji16].Wanamkamua hata akiwa kwenye pakiti [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1075833
Jumatatu next week zali linaanza. Mungu ni mwema na kila kitu kitakuwa salama. Asante kwa sala yako. Itatimizwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu kuna sehemu nimeona una wiki zima la kuogelea. Mungu awatangulie safari iwe salama
Mmeanza [emoji16][emoji16][emoji16]Aaah leo michembe haipiti kabisa karibisha malimbe,unayafahamu?
Nimetoa pendekezo hapo juu kuwa uchukue uenyekiti wa TRM. Unasemaje?Bro asione hii topic hahahaa
The one and only one...Jamani Malkia wetu mmemuona wapi?