Ni nani anayeamua kuwa haya ni mashudu na haya siyo? Ni wahusika wa mazungumzo, hadhira, mada, muktadha au majiniazi kama wewe mnaoweza kufika kijiweni na mara moja mkabaini kuwa watu wanaongea mashudu; na kuwaanzishia mada nzito nzito?
Karibu kwenye chit chat kamanda ...[emoji16][emoji16][emoji16]
All berries are beneficialHealth is Wealth
Strawberries, blackberries, blueberries, cherries; pretty much all types of berries contain cancer-fighting and anti-ageing antioxidants. They are also packed with vitamins and minerals and help better the HEALTH OF YOUR HEART.
All berries are beneficial
Southampton inafikiria kumsaini kiungo wa kati wa Rangers na Canada Scott Arfield, 30. (mirror)
[emoji16][emoji16][emoji16]. Mara nyingi watu wa aina hiyo huwa wanadhani ni "majiniazi" sana...ni mbwembwe tu za kujiona na inferiority complex...Ndiyo kuna jamaa alianzisha uzi akililamika kwanini jukwaa la habari na hoja mchanganyiko raia wanaposti hovyo mambo ya Ngono tu hawapost mambo ya maana
Nikamwambia watu tumetofautiana don’t stress tembelea nyuzi zinakupa amani sasa jamaa kaingia Tu anakwambia mashudu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Strawberries are the best....if you know what I mean [emoji16][emoji16][emoji16]All berries are beneficial
Mshambuliaji wa Roma na Bosnian Edin Dzeko, 33, yuko tayari kujiunga na Inter Milan na hayuko tayari kurudi nchini Uingereza. (Calciomercato)
Kitu gani huna?Madomo zege tuko wengi humu. Maneno mengiii lakini hakuna kitu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mshambuliaji wa Roma na Bosnian Edin Dzeko, 33, yuko tayari kujiunga na Inter Milan na hayuko tayari kurudi nchini Uingereza. (Calciomercato)