Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati anamsajili Riyad Mahrez kwa Pauni 60 milioni zilimfanya kocha huyo awe amefikisha matumizi ya Pauni 800 milioni katika klabu hizo mbili alizozinoa tangu alipoondoka Barcelona.
 
Wachezaji wengine aliowanasa kwa pesa nyingi ni Aymeric Laporte (Pauni 57 milioni), Bernardo Silva (Pauni 43 milioni), Kyle Walker (Pauni 45 milioni), Benjamin Mendy (Pauni 49.3 milioni na John Stones (Pauni 47.5 milioni).
 
CHELSEA imegongesha mwamba mara 21 kwenye Ligi Kuu England msimu huu ikiwa ni zaidi ya mara tatu ya ilivyogongesha Manchester United. Kama mipira yao yote waliyopiga ingetinga wavuni, bila shaka Chelsea wasingekuwa kwenye nafasi ya tano katika msimamo wa ligi hiyo wanayoshika kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…