capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Dah.. haya🚶♀️🚶♀️Ngoja niadopt Multiple Personality DisorderNilipoingia JF niliingia kwa kasi sana hasa kwenye mipira nikawa naitwa fekero la mdada mmoja hivi nae shabiki wa man u ila baadae akaibuka mhusika na nshazoea kuitwa fekero. Vumilia tu
Natania usijiskie vibaya.Dah.. haya🚶♀️🚶♀️Ngoja niadopt Multiple Personality Disorder
Utakwea pipa kuja?Nialike basi! [emoji1][emoji1]
Utakwea pipa kuja?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wait a minute! Did you just hash tag me? Mi fyekero la nani?
AmenMungu atupe usiku mwema
Bee kasmart