🤣🤣🤣Huko pa kununua mpaka na masufuria yake na kila kitu hapanifai aisee! [emoji23][emoji23]
Duh!!Gazeti ya Hispania yameonyesha kutofurahishwa na namna Guardiola alivyotumia pesa nyingi kwa misimu sita ya hivi karibuni akijaribu kutengeneza timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa huo wa Ulaya.
Mabro hawajakualika this time?
[emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣🤣 Ngoja nifikirie (in Cole's voice)