Fweza,[emoji23] View attachment 1075935
Nmekukosa sana, ni vile hujui tu.
Awamu hii Viongozi wote wanafanana fanana akili.Huyu shahidi bomu kweli.
Sad!! Huko hakuna mtu mzima ama kijana(mtoto). Labda itokee usiwe mtu wa hizi flirting.Mmm hata bega halijaguswa?
Dah.basi maofisini huko we are all cheaters.. maana ni flirting tu kazi ziende
Una wivu sana kijana 😁Sad!! Huko hakuna mtu mzima ama kijana(mtoto). Labda itokee usiwe mtu wa hizi flirting.