Ukiwa mla ubuyu marufuku kusahau vitu kama hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Intelligence yako kubwa sana katika hiyo sector ππππππ..... Tokotoko
Rule no 1 ya wala Ubuyu hii ππ... na bro ni mtunzaji mzuri wa kumbu kumbu tena na ushahidi kabisa ila nimeshangaa leo ananiambia mambo ya code na Ubuyu niwaachie mabinti...Ukiwa mla ubuyu marufuku kusahau vitu kama hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umemshtukia ee,bro anatunza kumbukumbu balaaRule no 1 ya wala Ubuyu hii ππ... na bro ni mtunzaji mzuri wa kumbu kumbu tena na ushahidi kabisa ila nimeshangaa leo ananiambia mambo ya code na Ubuyu niwaachie mabinti...
Naona ilikua ni mbinu ya kunitoa mchezoni tu..
Hahah ila hii chai inasisimua sanaWanasema ni chaaai
MAISHA: Nilinusurika kwenda Jela baada ya mke wa mtu kuoenekana kama kafia kitandani kwangu (sitasahau)
Nimejikuta naikumbuka siku kama ya leo miaka mitatu nyuma nilivyonusurika kufungwa kwa kifungo cha kunyongwa ama maisha ama miaka thelathini kulingana na upelelezi ambao ungetoa majibu ya hatia iliokuwa ikiniandama wakati huo. Inshu ilikuwa hivi.... Nilikuwa na rafiki yangu wa damu yani...www.jamiiforums.com
Sana tu yaan mjeshi azimie mwingine apigwe kabari mara wenzie wakaingia na kumuogopa jamaa aiseeeHahah ila hii chai inasisimua sana
Mdada fulani hivi muuza birian huko dar kavujisha video akijiamba ruty huku akimsifia kijana mmoja aitwae emma kuwa ni fireeeeeeeeeEti Binti mpole huyu Mariam Mapilau ni nani?
Hahah movie la kihindi mtu anachinjwa kwakutumia ndiziSana tu yaan mjeshi azimie mwingine apigwe kabari mara wenzie wakaingia na kumuogopa jamaa aiseee
Dooh! Hatari sana, sasa leo nimeona posts humu jukwaa letu pendwa kuhusu biriani biriani ikabidi niulize kwa wadau wa karibu nao hawajui ndio nikaona nivunje ukimya bhana asante kwa ufafanuzi. Ila hii issue nahisi inaweza pandisha au kumuharibia biashara yakeMdada fulani hivi muuza birian huko dar kavujisha video akijiamba ruty huku akimsifia kijana mmoja aitwae emma kuwa ni fireeeeeeeee
Huyu ni Antu Mandoza au siye?
Eti Binti mpole huyu Mariam Mapilau ni nani?
Ni mwenyeweHuyu ni Antu Mandoza au siye?