Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh pole....ilikuwaje?
Asante sana.....

Nilikutananae tu huko BBM wakati huo yupo Clouds media, nikamtext akareply tukawa tunachat chat sasa mimi nilikua napenda vile yupo natural...

mwisho wa siku nikaamua nimchane tu sasa udogo wangu ukaniponza na kweli nilikua chalii sana kwake basi tu niliamua kubet...

Baada ya hapo mazoea yalipungua mpaka kupotezana maana sikuwa na chakuendelea kuwasiliananae tena zaidi tungekuwa tunapiga Umbea tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…