Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah!! Watoto wa jf noma sanaHotel ya nyota tano kwa wiki nzima si mchezo bro. Walinikomba kila kitu nikarudi Koromije kwa kudandia lifti kwenye malori ya wauza mbao.
#SitasahauNyandazajuukusini
#kwendanyandazajuukwandege
#kurudikandayaziwakwagarilagazeti