Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

52952776_1271678716329750_5975716219357814235_n.jpg
 
Physics students were so full of pride. The way they'd carry calculators, 25 pencils, log table, alafu wanapanga line nje ya lab looking all serious like they are about to meet Isaac Newton Himselfu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Fedha taslim zilizopatikana nyumbani kwa Omar al-Bashir
😨
Sudan huko! Euro milioni 6 Dola 351,000 Paundi za sudan milioni 5 (ksma $105,000) Kiongozi anakuwa na cash hivi means alikuwa anachota hazina kama kwake. Sidhani CAG wao aliruhusiwa kutoa ripoti
 
Alikuwa anajichotea tu kama Dikteta wa magogoni. Sijui zitakutwa bilioni ngapi akienda kusachiwa.


img_20170809_050110_802-jpg.1077101




Fedha taslim zilizopatikana nyumbani kwa Omar al-Bashir
😨
Sudan huko! Euro milioni 6 Dola 351,000 Paundi za sudan milioni 5 (ksma $105,000) Kiongozi anakuwa na cash hivi means alikuwa anachota hazina kama kwake. Sidhani CAG wao aliruhusiwa kutoa ripoti
 
Hii ndiyo tofauti ya ufisadi wa Afrika na ufisadi wa wenzetu huko nchi zilizoendelea. Wenzetu wanafanya ufisadi wa kimaendeleo. Mtu anapata kaupenyo anaanzisha vita (mf. Iraq) ili afaidike na interests zake alizonazo kwenye viwanda vya silaha za kivita au katika mafuta. Shares za makampuni alimowekeza zinapanda anapiga hela ndefu lakini katika mikakati hiyo uchumi wa nchi yake unakua, silaha mpya zinatengenenezwa na kujaribiwa, tekinolojia mpya zinabuniwa na taifa linasonga mbele.

Sasa sisi ufisadi wetu ni huu wa hulka za kinyama tu usiojali. Imagine mtu mmoja tu tena asiye na mke wala watoto amerundika kwake dola milioni 130. Huko Uswizi pengine ndiko kaficha mabilioni. Yote haya wakati watu wake hawana cho chote. Halafu tukichekwa kuwa bado tuko katika hatua ya nyani tunalalamika. Inatia huruma sana.

Screenshot_20190420-185120~2.jpeg
 
KIUNGO wa Totenham, Moussa Sissoko amepata majeraha mapya katika mchezo wa juzi Jumatano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Manchester City.

Alilazimika kutolewa mwishoni mwa kipindi cha kwanza, ambapo ingawa aliombewa machela abebwe, alijitahidi kuchechemea na kutoka nje.
 
Mpaka sasa haijalezwa kwa kina nini kimemsibu ingawa taarifa za awaali zinaonyesha ni misuli ya makutano ya nyonga.

Itakumbukwa mchezaji huyu amekuwa akipata majeraha ya mara kwa hasa katika misuli ya maeneo ya nyonga na paja. Mwezi wa kwanza alipata majeraha ya nyonga na kinena yaliyomweka nje kwa wiki mbili.
 
Back
Top Bottom