Hahah!! Watoto wa jf noma sanaHotel ya nyota tano kwa wiki nzima si mchezo bro. Walinikomba kila kitu nikarudi Koromije kwa kudandia lifti kwenye malori ya wauza mbao.
#SitasahauNyandazajuukusini
That makes Your Legs, sio?Chukua Miguu ya aliovaa snickers mveshe hizo high heels za huyo mwingine🙂
Hahah!! Watoto wa jf noma sana
#kwendanyandazajuukwandege
#kurudikandayaziwakwagarilagazeti
[emoji16][emoji16]Ugumu wangu iginiazi roksi cha mtoto. Usitishwe na mbwembwe za humu na hizi kashfa ninazosingiziwa na hetazi wangu [emoji16][emoji16][emoji16]
#CHACHAWAforeva
Kabisaaa...[emoji23][emoji23][emoji23]
#pesaukaitambesa
Hahahah!!! Daah hii balaaUsiombe bro...
Afadhali kuzinduliwa hakuna gharama sana. Nasikia ukizinduliwa we mzinduliwa ndo unalipwa [emoji16][emoji16][emoji16]