Poa mkuu ila yataka moyoNi vyema kujua afya yako ,pima ,pima pima ,namalizia jamani pimeni HIV ndio mujue umuhimu wa kinga,wengi hawatumie kinga wala hawataki kupima kwa kuogopa ama kuhofia matokeo ya positive.
Jamani pimeni
Duh!Nafatilia kwa humu tu. Just imagine kisa mechi za ligi ya mabingwa afrika simba wakawa wanahairisha mechi watakavyo. Saiv wana viporo kibao. Ligi inaenda ukingon ila simba hawajacheza na azam mechi ya raund ya kwanza na ya pili pia.