[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkome[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]aisee,,hatuna jipya leo
Hahaha aiseeView attachment 1077644
This is too much guys
Hahaha aisee
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nafuu leo hamna kelele
AhsanteHeri ya Pasaka bana!
Haha wabongo akili zetu tunazijua wenyeweBro Wa Tz wanazingua sana aiseee
Ahsante
Heri ya Pasaka na kwako pia
[emoji23][emoji23][emoji23]dawa yenu ipo jikoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkome[emoji125][emoji125][emoji125]
Liverpool walikuwa na matumaini ya kuona Man City wanapoteza pointi kwa Spurs, lakini sasa watasubiri kuona itakavyokuwa kwenye mechi dhidi ya Manchester United, lakini wao kwanza itabidi washinde mechi zao.
Hehehe duuh!View attachment 1077644
This is too much guys
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sipo Everton ule ni unaa tu nilikuwa nawafanyia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dawa yenu ipo jikoni
DuuuMan United nao wangeweza kuwashusha Spurs hadi kwenye nafasi ya sita kama wangekuwa na uwiano mzuri wa mabao endapo wataibuka na ushindi huko Goodison Park watakapokwenda kumenyana na Everton.