Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1555866522715.jpeg
 
Virgil van Dijk, Eden Hazard na Raheem Sterling watachuana jino kwa jino na wakali Sadio Mane, Bernardo Silva na Sergio Aguero katika kuisaidia tuzo hiyo inayotolewa na Chama cha Wachezaji wa kulipwa wa Ligi Kuu England.
Raheem Sterling, Virgil van Dijik na Sadio Mane nawapa nafasi.
Nadhani mmoja wao ataibuka kidedea
 
Back
Top Bottom