Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
AminTuzidi kuombeana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ole Gunner mai futi [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji870]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haina shida,mtajaa tu Uefa na kale kakiberenge kenu ka Messi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi sipo Everton ule ni unaa tu nilikuwa nawafanyia[emoji23][emoji23]
Tulikuwa hatulali unaambiwa utafikiri Ole Gunnar ni alien...Shwaini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha wabongo akili zetu tunazijua wenyewe
Mambo niaje lakn huko??
Raheem Sterling, Virgil van Dijik na Sadio Mane nawapa nafasi.Virgil van Dijk, Eden Hazard na Raheem Sterling watachuana jino kwa jino na wakali Sadio Mane, Bernardo Silva na Sergio Aguero katika kuisaidia tuzo hiyo inayotolewa na Chama cha Wachezaji wa kulipwa wa Ligi Kuu England.
Asante na kwako piaNami nawatakia sikukuu njema ya Pasaka kwa woote