Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Nipo nmerudi bro,,hope nitayapata piaNo noma kweli sema tu ulipotea ila kuna mengi ungeyasikia
Nipo nmerudi bro,,hope nitayapata piaNo noma kweli sema tu ulipotea ila kuna mengi ungeyasikia
Uniweke sasa, sindio kawaida yako[emoji23][emoji119]ntakutafuta si muda mrefu tuyajenge[emoji4]
Miguel - Come Thru and Chill
Kama ya Arsenal[emoji2]Yaani maumivuuuuu
Wewe hapo ndo bingwaa bebUniweke sasa, sindio kawaida yako
Safi bro wewe tia kambi utayapataNipo nmerudi bro,,hope nitayapata pia
Umeanza kubisha tena jameni?Wewe hapo ndo bingwaa beb
Hii habari bila picha haiingii akilini..![]()
Hapa nilipo kuna ugomvi mkubwa unaendelea leo pasaka
Habari za pasaka wakuu, Kuna ugomvi mkubwa unaendelea kwenye bar moja hapa maeneo ya temeke, Ipo hivi, kuna jamaa amekuja hapa na gari moja kali sana ametukuta sisi tunakunywa na watu wengine mbalimbali, akatangaza kuwa mtu yeyote anayetaka kunywa bia au kupewa 10,000/= anampiga kibao kimoja...www.jamiiforums.com
J Cole - Can't Get Enough
Miguel - Told you soMiguel - Candles in the Sun
Etiii?Kama ya Arsenal[emoji2]
Tutazungumza badae[emoji23]Umeanza kubisha tena jameni?
Unanifariji hapahapa ama PM?
J Cole - Everybody diesJ Cole - Born Sinner
Arsenal bhana,,bora upoteze ugenini na sio nyumbani[emoji2][emoji2]Etiii?
[emoji7][emoji7][emoji7]unanigezaa lakiniBila kusikiza hii nyimbo bado sijalala, as you know [emoji3]