Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Gazeti lote hili sijaona point hahahaa chezea mnyama. Nimeweka rekodi zote zisome umuelewe.

Juve kama pesa za kumsajiri CR7 walirudisha ndani ya miezi michache na kuhusu UEFA kawafikisha mbali na magoli kajiongezea. Cheki madrid bila ronaldo wamedondoka vibaya.
Hahah

Point huwezi kuona bint mpole maana umevaa miwani ya mahaba machoni mwako
 
 
Ndoa ya Adele(30) na Simon Konneck(44) yapasuka. Kupitia wasemaji wake wawili Adele amethibitisha wametengana Kwa amani kilichobaki ni kulea mtoto wao . . Wawili hao walianza mahusiano miaka 8 iliyopita kisha kufunga ndoa miaka mitatu iliyopita
 
Back
Top Bottom