Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Pole sana Mkuu! Everton leo wamemwaga mboga!
Shwaini zao kwa kweli.
Ushabiki wa mpira ni mateso sana.

Heri ya Pasaka mkuu. Namshukuru Mungu siku inaenda kuisha vizuri maana nimeungana na vijana wangu tunaangalia katuni japo hata sielewi... Tembo anaruka sarakasi ya miguu juu?!!!!
 
Yote kheri Mkuu. Hili nalo litapita, na wewe jifanye uko deep na hao vijana kuangalia Tembo akiruka sarakasi! Kwao ni big deal kuona mshua wao nae anapenda hizo katuni! [emoji1][emoji1]
 
Yote kheri Mkuu. Hili nalo litapita, na wewe jifanye uko deep na hao vijana kuangalia Tembo akiruka sarakasi! Kwao ni big deal kuona mshua wao nae anapenda hizo katuni! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naenda nao kwa staili ya kwaito japo mdundo ni wa taarabu...
Hivi manisite ipo nafasi ya ngapi mpaka dakika hii? Usishangae nikihamia huko kimwili
 
Hahaha kijana kaja na kicheko kipya sio,,

Everton shwaini zao,,kilio cha leo hakituachi peke yetu,nawaona na washika bundik nao wamelizwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo jiran angetutesa kwa vijembe ila wamechapwa kakosa maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…