Hata sijui jaman shuain zao eve.Unatimkia wapi sasa? Heri ya Pasaka. [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankooooo
Ngoja nijaribu na Livapuli...Hu nozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani maumivuuuuu
Nadhani amejifunza na anajaua nini afanye, naona wachezaji wana apologize huko twitter.Apige chini waingereza siku hizi bro mpira ni pesa sio motivation words
Tupende na salamu za kwetu... KumenogaHeri ya Pasaka toka kwa Jùrgen KloppView attachment 1077755
Jamaniii[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Heri ya pasaka toka kwa kijani wa mabondeni pale Kariakoo[emoji16][emoji16]View attachment 1077754
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Salaam za Pasaka toka BukobaTunataka salamu za kutoka Kagera Sugar,pale Kaitaba[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ankoo mambo magumu kweli kweli ila ni kaupepo tyuuuu katapitaAnkoo nimetingwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga siielewi maniunaitedi ndo kabisaaa... Basi kimwili tu kwa majirani...
Pasaka imekwendaje binti yangu ?
Nikiondoa mapenzi kwa Mani yuu nipo vizuri kabisa
Salaam za Pasaka toka kanda ya ZiwaTunataka salamu za kutoka Kagera Sugar,pale Kaitaba[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].Shwaini zao kwa kweli.
Ushabiki wa mpira ni mateso sana.
Heri ya Pasaka mkuu. Namshukuru Mungu siku inaenda kuisha vizuri maana nimeungana na vijana wangu tunaangalia katuni japo hata sielewi... Tembo anaruka sarakasi ya miguu juu?!!!!
Hapa nitasimama na Jirani tu, Liverfool hatoboi.
ChaguaUlitakiwa kujibu swali kwanza.