capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Natania, hope tunakua poa soon.[emoji125][emoji125]hee hapana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hio ramli sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binafsi nilikua na matumaini angalau Spurs wangepata hata droo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natania, hope tunakua poa soon.
[emoji23][emoji23]Ramli zipoHio ramli sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipa wa Manchester United David de Gea, 28, anasemekana kutofurahishwa na hatua ya klabu hiyo kuhusu ombi lake la mda mrefu la kutaka kuongezewa mshahara. (Times)
Kipa wa Manchester United David de Gea, 28, anasemekana kutofurahishwa na hatua ya klabu hiyo kuhusu ombi lake la mda mrefu la kutaka kuongezewa mshahara. (Times)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sipati picha siku timu moja ikitandikwa shangwe lake litakua balaa[emoji23][emoji23]Ramli zipo
Manchester City inapania kumnunua kiungo wa kati Muargentina Thiago Almada, 17 - ambaye anasifiwa kuwa Lionel Messi mpya anayechezea moja ya vilabu tano kuu nchini mwake, Velez Sarsfield - kwa kimmkataba wa pauni milioni 20. (Sun)
Manchester City inapania kumnunua kiungo wa kati Muargentina Thiago Almada, 17 - ambaye anasifiwa kuwa Lionel Messi mpya anayechezea moja ya vilabu tano kuu nchini mwake, Velez Sarsfield - kwa kimmkataba wa pauni milioni 20. (Sun)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna post humu naitafita siioni tena
#zaidiyakingmswati
Aahaaa..Kuna issue ulikubaliana na mimi kunambia jana kabla hujalala.
Sataki kufafanua zaidi, najua unakumbuka.
Yaani ilikuwa ni mwendo wa kukoroga juishi ya supa dip na ndizi za kuchoma mwanzo mwisho... Hakika Mungu ni mwema tumeinjoika kwa kweli[emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ankoo mambo magumu kweli kweli ila ni kaupepo tyuuuu katapita
Pasaka imekwenda salama kabisa. Je huko mwakaleli pilau imelika vizuri,kyoda na juisi za kutosha zimenyweka?
Hivi vijuisi sijui watoto wanavipendea nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lakin nakumbuka utoton nilikua mteja mkubwa wa vijuisi vya ungaYaani ilikuwa ni mwendo wa kukoroga juishi ya supa dip na ndizi za kuchoma mwanzo mwisho... Hakika Mungu ni mwema tumeinjoika kwa kweli[emoji120][emoji120]
Kiungo wa kati wa Ajax Hakim Ziyech, 26, anaweza kupatikana kwa pauni milioni 25 tu, bei ambayo tayari imezivutia vilabu vya City, Manchester United, Arsenal na Liverpool. (Mirror)
🤣🤣🤣[emoji125][emoji125]hee hapana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale huenda akajiunga na ligi ya Uchina, Umoja wa milki za Kiarabu, MLS, ama moja ya vilabu tagika barani Ulaya - Lakini hilo linaweza kufanyika ikiwa mkataba wake wa sasa unaokadiriwa kuwa pauni 500,000 kwa wiki utasawazishwa na malipo ya Welshman ambaye mkataba wake unaendelea hadi mwaka 2022. (Mirror)