Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiungo wa kati wa zamani wa Arsenal Edu, 40, anajiandaa kujiunga na klabu hiyo tena kama mkurugenzi wa kiufundi, huku Mbrazil Gabriel Martinelli 17, akiorodheshwa kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na na klabu hiyo msimu wa joto. (Mail)
 
Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane, ambaye amehusishwa na tetesi za uhamisho wa mshambuliaji wa Paris St-Germain striker Kylian Mbappe, 20, amekiri kuwa atafanyia marekebisho mfumo wa mchezo wa klabu hiyo msimu ujao lakini amekataa kuzungumzia wachezaji anaowalenga katika mpango huo. (London Evening Standard)
 
Manchester United pia inapania kuwasaini kiungo wa kati wa West Ham, Declan Rice, 20, winga wa Chelsea Callum Hudson-Odoi, 18, na winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, 19 - kwa mujibu wa mshambuliaji wa mshambuliaji wa zamani wa England Paul Merson. (Star)
 
Hivi vijuisi sijui watoto wanavipendea nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lakin nakumbuka utoton nilikua mteja mkubwa wa vijuisi vya unga
Nimewahi kukojoa mkojo wa pinki ulikuwa unauma huooo, nikajaribu kuulamba ulikuwa mtamu kama juishi yenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…