Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Huku safi sana bro...Huku Mimi nimetoka kupunguza sukari kidogo upande huu kwema hope huko pia shwari
I am not a girl .. so for me none of the above
You are not a girl? [emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786]I am not a girl .. so for me none of the above
Are you a boy?You are not a girl? [emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786]
Hahaha!! aiseeeumeamka na usingizi wa mabiriani?
Mmeharibu kabisa jina la msosi huo..Hahaha!! aiseee
Hapana bhana
Huku safi sana bro...
Mimi napambana na lehemu (cholesterol) kidogo. Vita ni vita mura. [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
Kabisa yani sasa hivi kutamka jina la hicho chakula mbele za watu unajishtukiaMmeharibu kabisa jina la msosi huo..
Ni kweli bro. Hasa kwa sisi wahenga ni muhimu zaidi...Mazoezi Muhimu sana Bro tuendelee kupambana
Man U watafungwaMAN U mpo?
Hawa akina mama wanaomba mechi ya kirafiki [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1078191
Subiri wakija [emoji16][emoji16][emoji16]Man U watafungwa