Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Ukweli ulivyokua unauma najua nitapata shida sanaSubiri wakija [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukweli ulivyokua unauma najua nitapata shida sanaSubiri wakija [emoji16][emoji16][emoji16]
PEACE TO MY PARTNER JACOB MAKALATORATI YA MTAA INASEMA USIWE FALA
PEACE TO MY PARTNER JACOB MAKALA
Mtaani kwetu hakuna kuuzana, kuna matabaka ila kwenye shida unganaNiache mwanao usinishike shati napita kati utafikiri nimegeuka ...
Mtaani kwetu hakuna kuuzana, kuna matabaka ila kwenye shida ungana
Familia ni kitu cha kati wakati mwingine kunakua na mikakatiKuna muda tunakuja vutana lakini mwisho wa siku tunakuja ungana
Sina aisee.. ni kupambana na hali yako tuSasa kama gari hakuna nifanyeje?
Una mawazo mbadala?
Familia ni kitu cha kati wakati mwingine kunakua na mikakati
Pole magonjwa ya kizungu hayo..punguza bata...Huku safi sana bro...
Mimi napambana na lehemu (cholesterol) kidogo. Vita ni vita mura. [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]