Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ronaldo-Flamengo
Mmoja kati ya washambuliaji bora wa muda wote duniani. Ronaldo alikuwa hatari sana enzi zake. Atakumbukwa kwa kutamba katika jezi za timu nyingi. Hata hivyo klabu yake aliyoipenda sana utotoni Flamengo haikumuona kuwa mchezaji hatari wakati alipoanza kucheza soka.