Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah!! Unapinga sana hayo mambo ila achana na huyo bwabwa wewe zingatia content ya ngoma tu bro
Hahaha ni kweli bro,,contents za wimbo zipo poa sana,,,

Kiukweli haya mambo yananishinda sehem nyingi sana,kutokana na mambo hayo,kuna baadh ya series/movie mtu akishanipa update kidogo tu jinsi ilivyo basi nashindwa kabsa,mfano mzuri ni Empire,sijawahi iangalia hata episode moja,japo kuwa kuna watu nawakubari sana humo
 
Hahah!!! Najua hilo bro nakumbuka kuna siku humu ulisema huangalii empire sababu ya hayo mambo....

Fanya kutembea tembea maeneo ya pwani pwani bro baada ya muda naimani hutachukulia kwa uzito na unaweza ukajakua mmoja kati ya watu wanaomsumbua Mary biriani

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…