Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haji Manara amesema atahamia Yanga iwapo klabu ya Liverpool wataitoa Barcelona katika michuano ya UEFA Champion League ..
Haji Manara ni mshabiki Man U.
Baada ya Simba kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika ameamua kuwa msemaji wa Man U. Na baada ya timu yake hiyo nayo kutolewa amebaki kuhama hama timu moja badi nyingine.
Tunaomjua tumemzoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…