moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Masanamu yalivyopangwa darajani Suez canalIko wapi hiyo canal?
Masanamu yalivyopangwa darajani Suez canalIko wapi hiyo canal?
Kila la kheriMchezaji nyota wa zamani wa Arsenal ambaye pia alitimuliwa kwenye kazi ya ukufunzi na klabu ya Monaco, Thierry Henry, 41, yumo kwenye mazungumzo na klabu ya New York Red Bulls ya ligi ya soka Marekani ili kujiunga nao kama mkufunzi. (Sky Sports)
Fyatueni fyatueni kwa amri ya msomeshaji.Hali ya hewa safi kwa kilimo cha watoto bro...
Wenyewe mbona hawana vyoo[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahahahahaba, wapi "MONDI"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1078372
Sana[emoji16][emoji16]Ati man u wamechapwa siku ya pasaka ni kama wao ndo waliua Yesu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Msala huo, lazima ujipangeJamaa alikuwa anamwagilia bustan.mara mke wake akaja akamwambia ukimaliza nataka tuongee kidogo kuna jambo fulan nimeliona kwenye simu yako.ni masaa 6 sasa jamaa hajamaliza kumwagilia bustani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aseeeeeèee, CAG, CAG, CAG.Manunuzi ya dili mwaka 2018 yamegharimu nchi Sh Bilioni 432 halafu Watu wanapayuka kuwa kuna vita dhidi ya Rushwa? CAG anasema Manunuzi ya dili yameongezeka kwa asilimia Laki Moja!
Siyo kweli bro, kuna wengine hata ufanyeje kesho lazima umkute AmbianceFact: Kila Msichana Ni Wife Material.
Enzi