Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*TANGAZO TANGAZO*

Kwa wote wanaotumia huduma za kifedha kama M pesa, Tigo pesa etc. na
kama kuna mtu ameweka kipesa chake ktk account hizo na aende akakitoe mana _inavyosemekana_ kuanzia tarehe 01/05/2019, laini zote zitafungwa na kufunguliwa usajili mpya ambao utahusisha *finger print* kama inavyofanyika huko Uganda,please ukipata ujumbe huu naomba share kwa wengne kwa usalama wa pesa zao. Kama huna aksunti benki bora tuu utoe pesa zako uweke kwenye sandarusi ufiche tu ndani.

AHSANTE SANA.

#elimu_huru
Serikali nayo itarajie hasara kwa muda wote huo,
 
KOCHA wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger alitumia msuli kunasa saini ya Alexandre Lacazette kutoka Lyon hadi akamwaga wino Julai 6, 2017, lakini straika huyo juzi Jumanne amemnanga Wenger huku akimpa tano kocha wa sasa, Unai Emery.
 
Wenger ametumikia Arsenal kwa miaka 22 na kuipa mataji kadhaa; ubingwa mara tatu wa EPL, ubingwa mara saba Kombe la FA kabla ya kutupiwa virago kutokana na mwenendo mbaya wa klabu.
 
Mabosi wa Arsenal hawakutumia nguvu nyingi kupata mbadala licha ya Wenger kumtaja mrithi wake, lakini Emery akaletwa kikosini na falsafa zake.
 
Baada ya kutua Emery hapo Emirates, alipambana na sasa Arsenal iko nafasi ya nne na katika Europa League imeingia nusu fainali kwa kuitoa Napoli kwa jumla ya mabao 3-0 wiki iliyopita.
 
Back
Top Bottom