myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
12:27
Uzi upi? Sijawahi kufungua uzi kwa issue za Mapenzi.🤣🤣🤣 We umemforwardia Yule uliomfungulia uzi siku zile
🙏🙏🙏Ni mzima pia.Siku njema huko.
Nimejiuliza kama bro ulishawahi kumzindua shemela humu halafu mnuso ukanipita. Uwe unanikumbuka kumbuka bro kwenye ishu za muhimu kama hizo [emoji16][emoji16][emoji16]Uzi upi? Sijawahi kufungua uzi kwa issue za Mapenzi.
Uliweka poem moja hivi..Uzi upi? Sijawahi kufungua uzi kwa issue za Mapenzi.
💪Jasti laiki yu !!!
Hahaha..Kwenye maua jamaa kajitahidi. Hata Yego haoni ndani [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1078941
Achana na Fragiria anazingua. Kwanza ID yake ya mwaka huu, sijaandika UZI wowote wa mapenzi mwaka huu.Nimejiuliza kama bro ulishawahi kumzindua shemela humu halafu mnuso ukanipita. Uwe unanikumbuka kumbuka bro kwenye ishu za muhimu kama hizo [emoji16][emoji16][emoji16]
Subiri akija. Stori za ugumu zinakuhusu [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha..
That smile... Big smile..