Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah! Nikweli bro nimekukalia kooni ila jitahidi tu kwenda sawa na kasi ya hii awamu....

siku hizi sijumuiki sana kwenye nyuzi za nje ya hapa nikutane na warembo huko, hivyo uzinduzi hakuna bro
 
Hahah! Nikweli bro nimekukalia kooni ila jitahidi tu kwenda sawa na kasi ya hii awamu....

siku hizi sijumuiki sana kwenye nyuzi za nje ya hapa nikutane na warembo huko, hivyo uzinduzi hakuna bro
Tetesi za kuzinduliwa fo ze sedi taimu zipo...

Let's wait and see...

Rekodi yako ya kuzinduliwa haitakaa ivunjwe hapa JF indeed wallahi....[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…