Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimejaribu kufikiria zawadi mbalimbali lakini zote zinaelekea kwenye zawadi moja tu kuu...

Capital ana bahati huyu wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Eti nitatembea kifua mbele
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
emoji16.png
 
Bro hachezeagi bahati aisee..... hapo mtego aliotegwa yeye kauruka alafu kaweka wake kumtega mtegaji..... [emoji23][emoji23][emoji23] bro wangu huyu ni Jiniaz sana
The hunter anapogeuka kuwa the hunted [emoji16][emoji16][emoji16]

Siku za hivi karibuni umenikalia kooni kweli bro. Huko vilima vya Nyegezi sijui wamekufanya nini?

Halafu kuna fununu kuwa upo kwenye process ya kuzinduliwa for the third time. Ni kweli bro?
 
Back
Top Bottom