Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu tuambizane tuje tulambe Pilau[emoji16][emoji16]
Muhimu sana...

Tena harusi ya programa dah !!!

Itakuwa very exclusive na si ajabu wote tutakaohudhuria tutaondoka na iPhone mpyaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]

Mi nitatoa TECNO yangu kama zawadi kwa maharusi waende ikawasaidie kuanzishia laifu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
pic%2Bole.jpeg
 
Back
Top Bottom