capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Bro, inaonekana nawe una mafyekero bro. Izi zisi truu? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sina Fyekero Bro,
ID ya kwanza ilitengenezwa 2012.
Niliicha sababu nilitumia Jina la kwanza halisi. Ilkuwa rahisi mtu kuni trace.
Wacha nikutaftie ID ya Fragiria ya zamani.