capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Aweke hapa hapa. We si ulikuwa unafukua makaburi na kumwaga mchanga hapa hapa?
Mkihamia PM mtaharibu sana [emoji36][emoji36][emoji36]
Ha hah
Nasubiri ruhusa niiweka hapa.
Aweke hapa hapa. We si ulikuwa unafukua makaburi na kumwaga mchanga hapa hapa?
Mkihamia PM mtaharibu sana [emoji36][emoji36][emoji36]
hahahahahahahah, haya bro.Sisi wengine tumechukua mmoja TU hivyo uwiano utaongezeka 😀😀😀Ratio ni 2:1.5...
Wapo tu bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Mtego umeguzwa furssa sio.Bro hachezeagi bahati aisee..... hapo mtego aliotegwa yeye kauruka alafu kaweka wake kumtega mtegaji..... 😂😂😂 bro wangu huyu ni Jiniaz sana
Nyie fauduni tu kwa sababu hakuna namna...na Alaumiwe aliyeanzisha haya mambo ya monogamy...Dini yangu ingekuwa inaruhusu ningetaka hata nusu dazeni wallahi kama mzee mmoja kule kujijini kwetu...hahahahahahahah, haya bro.Sisi wengine tumechukua mmoja TU hivyo uwiano utaongezeka 😀😀😀