Tottenham wamejiandaa kumuuza mchezaji wa safu ya nyuma wa timu ya England Kieran Trippier msimu ujao, huku Manchester United na Napoli wakimtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka b28. (Sun)
Wapi huko nikaioneMbona anazo nyuzi nyingi tu ..
Jana moja yake iliibuka ya zamani ya kumsifia shangazi yake [emoji16]
Tottenham wamejiandaa kumuuza mchezaji wa safu ya nyuma wa timu ya England Kieran Trippier msimu ujao, huku Manchester United na Napoli wakimtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka b28. (Sun)
[emoji23][emoji23][emoji23]Usinifannyie Hivyo.
Unanilazimisha ku- Hack simu/acc yako ujue ..
Unai Emery atasaini mkataba na Arsenal msimu huu - huku mlinzi wa kimataifa Mjerumani Shkodran Mustafi, mwenye umri wa miaka 27, akiwa miongoni mwa wachezaji wanaouzwa . (mail)
Hahaha aaaahMuhimu sana...
Tena harusi ya programa dah !!!
Itakuwa very exclusive na si ajabu wote tutakaohudhuria tutaondoka na iPhone mpyaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mi nitatoa TECNO yangu kama zawadi kwa maharusi waende ikawasaidie kuanzishia laifu [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Unai Emery atasaini mkataba na Arsenal msimu huu - huku mlinzi wa kimataifa Mjerumani Shkodran Mustafi, mwenye umri wa miaka 27, akiwa miongoni mwa wachezaji wanaouzwa . (mail)
Unachomwa au unachoma hizo sindano mzee baba?[emoji1787][emoji1787]Chimbo langu jipya la kuchomea sindano za Malaria pale Mwananyamala Hospital...
View attachment 1079044
Barcelona wanatarajia kumtoa mchezaji wa safu ya kati wa kimataifa wa kutoka Chile Arturo Vidal, mwenye umri wa miaka 31, kwa kurefusha mkataba wake wa sasa , utakaokamilika 2021. (Sport)
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unachomwa au unachoma hizo sindano mzee baba?[emoji1787][emoji1787]
Barcelona wanatarajia kumtoa mchezaji wa safu ya kati wa kimataifa wa kutoka Chile Arturo Vidal, mwenye umri wa miaka 31, kwa kurefusha mkataba wake wa sasa , utakaokamilika 2021. (Sport)
Wolves na Sporting Lisbon ya ureno wanataka kusaini mkataba unaoweza kubadilika na mchezaji wa Liverpool Rafael Camacho mwenye umri w amiaka 19. (Birmingham Mail)