Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pia wanaume kwa wanawake tuwe watu wakufanya mazoezi jamani especially cardios,kukimbia nini.
Kama wewe unapenda kula kama mimi..especially nyama..makesure mbogamboga na fruits kama parachichi pamoja na maji ni rafiki.
Na zoezi lazima.

Unajua nini,mafuta yakiganda kwenye mishipa ya damu ya ubongo halafu ikatokea situations blood pressure ikapanda,ile mishipa ina burst cuz nafasi ya kupitishia damu ya pressure kubwa inakuwa ndogo,damu inavuja kwenye ubongo.

Wapendwa,watz wenzangu najua zoezi sio utamaduni wetu ila tujitahidi.Esp ambao bado ni vijana wadogo kupunguza complications za baadae.

Mapendo.
Ushauri mzuri sana hasa ukizingatia kuwa sasa hata kula vyakula vyetu vya asili tumeacha na tumekazania haya mavyakula ya viwandani yaliyojaa makemikali.
 
Back
Top Bottom