Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanawake muwe makini. Ukipata intense orgasm halafu hapo hapo ukapata maumivu makali ya kichwa, inawezekana ikawa umepata brain haemorrhage yaani damu kuvia kwenye ubongo. Nilikuwa sijui lakini inaonekana ni tatizo linalowakumba baadhi ya wanawake japo mara nyingi madhara yake huwa siyo makubwa. Huyu mama yeye aliishia kupooza na sasa anaongoza juhudi za kusaidia akina mama wengine waliokumbwa na tatizo hilo na kuketa awareness...
0b2e6b3dccb94a2c3a2249ff3e6ac87c.jpg
Pia wanaume kwa wanawake tuwe watu wakufanya mazoezi jamani especially cardios,kukimbia nini.
Kama wewe unapenda kula kama mimi..especially nyama..makesure mbogamboga na fruits kama parachichi pamoja na maji ni rafiki.
Na zoezi lazima.

Unajua nini,mafuta yakiganda kwenye mishipa ya damu ya ubongo halafu ikatokea situations blood pressure ikapanda,ile mishipa ina burst cuz nafasi ya kupitishia damu ya pressure kubwa inakuwa ndogo,damu inavuja kwenye ubongo.

Wapendwa,watz wenzangu najua zoezi sio utamaduni wetu ila tujitahidi.Esp ambao bado ni vijana wadogo kupunguza complications za baadae.

Mapendo.
 
Hiyo taarifa ya huyo mama niliiona sehem(natumai tunamzungumzia mtu mmoja)...on a serious note asante kwa ukumbusho
Nimeisoma ishu nzima and the scientific basis behind it. Inatokea japo ni rare kidogo na mara nyingi ni kwa watu ambao tayari wana underlying conditions (mf. clogged/hardened blood vessels) na ishu zingine kama high blood pressure. Huyu mama kaunda organization yao kabisa - waathirika wa mshindo mkito (intense orgasm)!
 
Back
Top Bottom