Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7b592a2e097a1dc31230f84c05dcf945.jpeg
 
Sote tuna ile part katika miili yetu ambayo tunaona haiko sawa ( insecurities ), inaweza kuwa mikono, miguu, tumbo, vidole, chochote ambacho unaona hakiko sawa na unatamani kukificha, kitu ambacho sisi tungeweza kukwambia ni kwamba your beautiful the way you are.
 
Lakini kama unaona bado hujafikia sehemu ya kujikubali 100% tunakuletea hii series ya kujua nini uvae endapo kuna sehemu ya mwili wako ungependa isionekane au hata kama inaonekana basi in a good way, na leo tunaanza na mikono minene ambayo imekuwa requested na wengi.
 
Mikono hii hutokana na umri kwenda lakini tu si umri bali pia kuwa na mwili mnene, watu wenye miili minene wengi huwa na mikono minene, japo unaweza kumkuta ambae hana mwili sana lakini mikono yake ni minene tunaweza kusema ni vile tu umeumbwa hivyo, hizi ni tips ambazo zinaweza kukusaidia katika mavazi yako.
 
Hii ni quick fix, kama unataka kuficha mikono yako vaa nguo za mikono mirefu zinazo fikia kwenye kikonyo cha mkono, hakikisha haikubani na wala haiachii sana, isifike mpaka chini kwa maana utaficha mkono mzima, show some skin kidogo.
 
Back
Top Bottom