Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1547813808783.jpeg
 
Waifu wa mlozi huyu ni pasua kichwa...

Si ajabu bro kasoma baadhi ya thread zake humu akaamua kugeuza gia angani...[emoji16][emoji16][emoji16]
Lakini kuna siku niliona kauzi kake furani alidai yeye na mlozi walishamwagana.
Ndiyo maana sasa mambo yote kujianika.
Mwenye kisu kikali akale nyama hiyo [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Accessorize
Kila siku huwa tuna insist kwenye ku-accessorize, ni moja ya njia ambazo hufanya muonekano wako sio tu kuwa upgraded lakini pia uonekane stylish, ongezea vitu kama saa, bracelet, statement necklace, vaa hereni n.k
 
Back
Top Bottom