Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sihofii kwa sababu nimeweza kutatua hivi vitu leo, nimevivunja vunja. Ingawa vipo lakini havina nguvu ndani yangu. Kwenye akili yangu. Kabla sijajifunza nilikuwa naelewa kuwa mafanikio mazuri ni kuwa na Nyumba, Gari ya kifahari, nguo zenye majina, viatu vya majina makubwa.
Aisee.
Nilifikiria pia kuwa mafanikio ya maisha ni lazima uwe na Nyumba ,magari ,mavazi na kula vizuri kila wakati. Kumbe sio sahihi.
Shukran mkuu.
 
Aisee
20190425_120442.jpg
 
Back
Top Bottom