Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9acac14b0f16a548cb46ade0bca5770f.jpeg
 
Samahani aisee. Sikuangalia hata jina. Nilifikiri naongea na mwanaume...

Hongera kwa kuwa mke wa tatu mkuu. Wanawake hawa wawili tu sidhani kama nitawaweza. Nahisi kama vile nitakufa mapema tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Huwezi kufa mkuu ni maelewano tu yaani kuna faida kubwa mda wote wewe raha tu kila mwanamke anashindana kuonyesha maujuzi
 
Back
Top Bottom