Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nguvu ya KARMA29 yrs. Kajitu kama haka kanatesa watu. Madaraka ni dhana ya ajabu sana. Shwaiiiini kabisa !!!
View attachment 1080651
Karibu kwenye Uislamu mkuu fikilia ukiwa na wake wanne raha mnoMwisho wanne eeeh? Mtatufanya tubadili dini nyie ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1080654
Wewe unao wangapi mkuu mpaka sasa?Karibu kwenye Uislamu mkuu fikilia ukiwa na wake wanne raha mno
Mimi ni mke wa tatu kwa mume wangu 😀😀😀😀Wewe unao wangapi mkuu mpaka sasa?
Watu wafupi ni sawa tu na Wasukuma. Wanaonewa sana [emoji16][emoji16][emoji16]Two things you can never separate in this life is “Short people & Notice Me”
Huyu ni KE Bro, uwe unachukua taarifa kwangu basiiiWewe unao wangapi mkuu mpaka sasa?
Naweza kuwa mumeo wa pili?Mimi ni mke wa tatu kwa mume wangu 😀😀😀😀
Samahani aisee. Sikuangalia hata jina. Nilifikiri naongea na mwanaume...Mimi ni mke wa tatu kwa mume wangu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa sheria ya kislamu haiwezekani kwani bado niko kwenye ndoa mkuuNaweza kuwa mumeo wa pili?
Nimeligundua kosa langu immediately...endi ai apolojaizi...Huyu ni KE Bro, uwe unachukua taarifa kwangu basiii
Huwezi kufa mkuu ni maelewano tu yaani kuna faida kubwa mda wote wewe raha tu kila mwanamke anashindana kuonyesha maujuziSamahani aisee. Sikuangalia hata jina. Nilifikiri naongea na mwanaume...
Hongera kwa kuwa mke wa tatu mkuu. Wanawake hawa wawili tu sidhani kama nitawaweza. Nahisi kama vile nitakufa mapema tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Not fair,Kwa sheria ya kislamu haiwezekani kwani bado niko kwenye ndoa mkuu
Mke wa tatu...Foosamu labda...[emoji16][emoji16][emoji16]Not fair,
Srisamu inaryhusiwa mkuu?