Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mahusiano bila sex sifanyi. Sex haiwezi kuwa kitu cha msingi sana katika mahusiano, yapo mengi muhimu na ya msingi sana ukiacha sex ndani ya mahusiano.
Yaani kuna muda huyo bro ananifurahishaga mpaka basi. He is as real as they come [emoji16][emoji16][emoji16]That’s my bro [emoji23][emoji23][emoji23]
Najua nimeunga mkono JuhudiThat’s my bro [emoji23][emoji23][emoji23]