Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Hahahaha AsanteHongera mkuu, subira yako ndiyo daraja lako,
Hahahaha AsanteHongera mkuu, subira yako ndiyo daraja lako,
Hongera mkuu, subira yako ndiyo daraja lako,Mimi ni mke wa tatu kwa mume wangu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ule ushabiki wa misambwanda tofauti tofauti nikadhani nawe unamiliki wanne au sita [emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]Samahani aisee. Sikuangalia hata jina. Nilifikiri naongea na mwanaume...
Hongera kwa kuwa mke wa tatu mkuu. Wanawake hata wawili tu sidhani kama nitawaweza. Nahisi kama vile nitakufa mapema tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahaha, hayo maujuzi nayo yanaweza kukurestisha.[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Huwezi kufa mkuu ni maelewano tu yaani kuna faida kubwa mda wote wewe raha tu kila mwanamke anashindana kuonyesha maujuzi
Kulekule makao makuu....[emoji16][emoji16][emoji16]
Msichana Ambaye Anaona Sex Sio Kitu Cha Msingi, Na Mvulana Ambaye Anaona Sex Ndio Kitu cha Msingi.. Wote Wawili Wana Kazi Sana Katika Kuyaendesha Mahusiano Yao..
Kwa mume hayawezi mkuuHahahahaha, hayo maujuzi nayo yanaweza kukurestisha.[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji16][emoji16][emoji16]Naye alipanda kwenye mti[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],,na aliyempiga picha alipata kazi
Mahusiano bila sex sifanyi. Sex haiwezi kuwa kitu cha msingi sana katika mahusiano, yapo mengi muhimu na ya msingi sana ukiacha sex ndani ya mahusiano.Hapo upo kundi gani Chief
Hata talaka moja unaweza kuolewa tena mkuuWanaume wameruhusiwa ila mwanamke hapana labla uwe umepewa taraka 3
Kisheria taraka tatuHata talaka moja unaweza kuolewa tena mkuu
Kuwakutanisha vipi mkuu fafanuaInawezeka Dini inaruhusu kuwa na wake wanne ila hairuhhusu kuwakutabnisha wote kwa pamoja, muda mmoja Bro,
Inawezeka Dini inaruhusu kuwa na wake wanne ila hairuhhusu kuwakutabnisha wote kwa pamoja, muda mmoja Bro,
Hahahahahaha, amka unywe soda zako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa twins hata uambiwe kuwaoa wote ni sawa tu...
View attachment 1080688